KUTOKA ETHIOPIA: Msikie mkuu wa msafara wa Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania (Twiga Stars) ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Ut...

KUTOKA ETHIOPIA: Msikie mkuu wa msafara wa Timu ya Taifa ya wanawake Tanzania (Twiga Stars) ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF, Debora Mkemwa akieleza hali ya kikosi kuelekea mchezo wa leo wa marudiano wa kuwania kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya wenyeji wao Ethiopia.

Twiga Stars inaingia katika mchezo huu ikiwa tayari na magoli mawili mkononi waliyoyapata kwenye mechi ya kwanza iliyopigwa Dar es Salaam.

Mechi ni saa saa 9:00 alasiri

Imeandaliwa na @jairomtitu3
(Mhariri na @allymufti_tz)

#AzamSports #Wafcon #TwigaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *