LEO, timu taifa ya wanawake Twiga Stars watakuwa uwanja wa ugenini Dire Dawa nchini Ethiopia wakicheza mechi ya marudiano na Ethiopia kuwania kufuzu WAFCON.
Twiga Stars inaingia katika mchezo huu ikiwa na faida ya magoli mawili wakiyopata mechi ya kwanza, hivyo wanahitaji ushindi ama sare tu ili kufuzu WAFCON.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
#Wafcon #TwigaStars
