MSHIKEMSHIKE: Yanga imepata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC

MSHIKEMSHIKE: Yanga imepata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC. Nini maoni yako kuhusu ushindi huu?

Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *