MSIMAMO: Baada ya kupewa ushindi wa kikanuni dhidi ya Dodoma Jiji FC, Pamba Jiji FC wamepanda hadi nafasi ya pili kutoka nafasi ya kumi.
Wananchi nao wanasogea…!!!
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
