MWAGALA: “..kama kweli wamefika, basi hawana bahati”
Afisa Habari wa TRA United, Christina Mwagala ana mashaka kama Simba kweli wamewasili Tabora, asema wao ndiyo watakuwa wa kwanza kuifunga Simba……
Hii ni kuelekea mchezo wao wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa Oktoba 30.
#NBCPL #Mwagala