#NBCPL Goli lake la kwanza kabisa akiwa Jangwani analitoa kwa ‘Wananchi’ kama shukrani yake kwa kumpokea vizuri….!!!
Huyu ni ni nyota wa mchezo wa leo, beki Mohamed Hussein Zimbwe Jr.
FT: Yanga SC 2-0 Mtibwa Sugar
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #YangaSC #MtibwaSugar #YangaMtibwaSugar