#NBCPL Kocha wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma anasema kilichoamua mchezo wa leo ni ubora wa wachezaji wakati Kocha Msaidizi wa Yanga,...

#NBCPL Kocha wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma anasema kilichoamua mchezo wa leo ni ubora wa wachezaji wakati Kocha Msaidizi wa Yanga, Patrick Mabedi amewapongeza wachezaji akisema timu inazidi kuimarika.

Mabedi pia amegusia pia kuhusu aina ya magoli yaliyofungwa (nje ya boksi) akisema haikuwa mpango bali ni kwakuwa ilikuwa ngumu kupata magoli ndani ya boksi na kukiri kwamba “…tuna tatizo la umaliziaji”

Kocha Mabedi pia ametoa neno kuhusu nyota wa mchezo wa leo, Mohamed Hussein…

FT: Yanga SC 2-0 Mtibwa Sugar

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #YangaSC #MtibwaSugar #YangaMtibwaSugar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *