SIMBA TABORA: Kikosi cha Simba SC kimewasili Tabora tayari kwa mchezo wao dhidi ya TRA United utakaochezwa Oktoba 30 kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Mara baada ya kuwasili, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally anaeleza hali ya safari, mipango yao pamoja na taarifa kuhusu nyota zaidi ya kumi waliosalia Dar es Salaam kwa sababu mbalimbali ikiwemo majeraha…
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaTabora #TRAUnited