SOKOINE STADIUM: Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya unaendelea kufanyiwa maboresho baada ya kufungiwa kutumika kwa mechi za ligi….
Huyu hapa meneja wa uwanja huo, Modestus Mwaluka akieleza kinachoendelea kwa sasa huku akiomba wadau wajitokeze kushirikiana naye katika maboresho hayo….
#SokoineStadium