#SportPesaLeague Magoli yote manne… Sofapaka FC wakikataa unyonge na kuchomoa zote mbili walizokuwa wametanguliwa…..
Mara Sugar wamepata magoli yao kupitia kwa David Owino na Timothy Ndayala huku Sofapaka wakichomoa kupitia kwa Stanley Lugalya na Joseph Gulopa…
Je, hilo la kwanza kabisa unalifananisha na la nani??
FT: Sofapaka FC 2-2 Mara Sugar
Burudani ilikuwa LIVE #AzamSpors3HD
#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #SofapakaFC #MaraSugar #SofapakaMaraSugar
