TWIGA STARS vs ETHIOPIA | Timu ya Taifa ya Wanawake ya Ethiopia ikiingia uwanjani kupasha misuli kabla ya kuwakabili Twiga Stars katika mchezo wa marudiano wa kuwania Kufuzu #WAFCON2026.
Ethiopia itaingia kuwakabili wapinzani wao wakiwa na kumbukumbu ya kufungwa magoli 2-0 kwenye mchezo wa kwanza uliyopigwa Azam Complex Dar es salaam
Mechi ni saa saa 9:00 alasiri
#AzamSports #Wafcon #TwigaStars