VITASA | Kaimu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Patrick Nyembera ameushukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tnzania kwa kutoa vifaa vya michezo kwa mabondia wa kike ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha ngumi kwa wanawake nchini.
Kwa upande wake Balozi wa Ufaransa, Anne-Sophie Avé amemesema wameamua kutoa vifaa kwasababu wanaamini mchezo wa ngumi ni muhimu kwa wasichana na wavulana kwasababu mchezo huo unatengeneza nidhamu, umoja na heshima.
Balozi huyo anasema nchi ya Ufaransa inapenda mchezo wa soka na ngumi pia.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
Mhariri: @allymufti_tz
#AzamSports #Ngumi #TPBRC