YANGA SC vs MTIBWA SUGAR | “Daraja ambalo wamelitengeneza Yanga halimhitaji mwalimu mpya kuingia kwenye kikosi ndio molari irud”
Mchambizi wa soka @godlisten_muro7 akichambu kiufundi benchi jipya la ufundi la Yanga SC ambapo leo watakuwa na mchezo wa #NBCPremierLeague dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye dimba la KMC Complex.
Mtanange wenyewe ni Saa 10:00 jioni, LIVE #AzamSports1HD.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
(Mhariri na @allymufti_tz)
#NBCPL #Azamtvsports #YangaSC #MtibwaSugar #YangaMtibwa