Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amejitokeza kupiga kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Kilimani.
Akizungumza mara baada ya kukamilisha upigaji wa kura mkuu huyo wa mkoa amesisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya Kikatiba
“Hali ya usalama imeimarishwa hivyo wnanchi wasiwe na hofu,” amesisitiza Senyamule.
#StarTvUpdate
