#UchaguziMkuu2025 | Zoezi la kupiga kura linaendelea hapa katika kituo cha Buyuni, kilichopo Changanyikeni, Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Zoezi hilo limeanza mapema saa 1.00 asubuhi kwa amani na utulivu, huku wananchi wakijitokeza kwa utaratibu kutekeleza haki yao ya kikatiba.
✍ Omary Katanga
#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025