Korea Kusini yakubali kuwajibika kwa kuasili watoto kwa njia mbaya
Korea Kusini imekubali kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Oktoba 2, wajibu wake wa kuasili makumi ya maelfu ya watoto waliotumwa nje ya nchi kwa njia mbaya “kupitia” wakati mwingine…
Korea Kusini imekubali kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Oktoba 2, wajibu wake wa kuasili makumi ya maelfu ya watoto waliotumwa nje ya nchi kwa njia mbaya “kupitia” wakati mwingine…
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 kipimo cha Richter lililopiga katikati mwa Ufilipino siku ya Jumanne jioni imeongezeka hadi 72, kulingana na shirka…
Msafara wa meli, ujulikanao kama Global Sumud Flotilla (GSF), unaobeba misaada kuelekea ukanda wa Gaza ilutangaza mapema leo Alhamisi, Oktoba 2, kwamba unaendelea na safari yake kuelekea eneo lenye vita…
Marekani itapanga kuipatia Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, maafisa wawili wamesema siku ya Jumatano, wakati nchi…
Vyama vya wafanyakazi vya Italia vimeitisha mgomo wa jumla siku ya Ijumaa kwa mshikamano na shirika la kimataifa la misaada kwa Gaza. Maandamano yalizuka katika miji kadhaa siku ya Jumatano…
Jeshi la wanamaji la Israel limekamata meli zilizokuwa zimebeba misaada kuelekea Gaza na kuwaweka kizuizini wanaharakati waliokuwa ndani, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Sweden Greta Thunberg. Imechapishwa: 02/10/2025…
Vyama vya wafanyakazi nchini Madagascar vinaongeza shinikizo kwa Rais Andry Rajoelina, wiki moja baada ya kuanza kwa vuguvugu la maandamano ambalo halijawahi kushuhudiwa linaloitikisa taifa hivi sasa. Mshikamano wa Vyama…
Mlipuko mpya wa Ebola umekuwa ukiendelea tangu mapema mwezi Septemba nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika Mkoa wa Kasai. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), watu 42 wamefariki kati…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilisema meli kadhaa ambazo ni sehemu ya Global Sumud Flotilla (GSF) "zimesimamishwa kwa usalama".
Colombia imewafukuza wanadiplomasia wa utawala wa kizayuni wa Israel kwa uchokozi uliofanywa na utawala huo ghasibu wa kuuvamia kijeshi msafara wa kimaataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda…