Samia: Wananchi tukapige kura usalama ni mkubwa
Kulingana na Samia, wale wanaoshawishi kuvunja amani wana mahali pa kukimbilia wao na familia zao.
Kulingana na Samia, wale wanaoshawishi kuvunja amani wana mahali pa kukimbilia wao na familia zao.
MABAHARIA wa KMKM, wamefanikiwa kuvuna Sh10.5 millioni kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), Azana Hassan Msingiri ikiwa sehemu ya kuipongeza timu hiyo kwa kuingia hatua ya…
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
MECHI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa leo Oktoba 1, 2025 kati ya JKU na KVZ kwenye Uwanja wa Mao A mjini Unguja, imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Kwa mara nyingine Iran inajikuta chini ya vikwazo vikali vya kimataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia na wa makombora ya masafa marefu. Haya yanajiri baada ya mkwamo wa mazungumzo…
Wagombea Tanzania wameendelea kurusha kete zao za kisiasa vilivyo na wakiwekeza katika mbinu mbadala za ushindi huku wananchi nao wakitoa maoni yao wakati wakisubiri siku ya kupiga kura.
Uwanja wa tamasha maarufu la bia, Oktoberfest, nchini Ujerumani huko mjini Munich umefungwa kwa muda hadi baadae jioni hii kutokana na kitisho cha bomu.
Mgombea urais wa chama tawala CCM nchini Tanzania ambaye pia ni Rais wa Taifa hilo la Afrika Mashariki Samia Suluhu Hassan, anaendelea kunadi sera zake akiomba kura kwa wananchi.
eo, Jumatano Oktoba 1, 2025, kuna mechi kadhaa za Ligi ya Mabingwa ya UEFA (UEFA Champions League) katika hatua ya pili ya makundi (Matchday 2). Hizi hapa ni baadhi ya…
Hapa chini ni matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa ya UEFA zilizochezwa Jumanne, Septemba 30, 2025: 🔥 Matokeo ya Mechi Kwa matokeo haya, baadhi ya timu zimejiimarisha kileleni mwa…