Leo Katika Historia, Alkhamisi, Oktoba Pili, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
Tottenham wanakaribia kuafiki mkataba mpya na Rodrigo Bentancur, Manchester City na Real Madrid wanamfuatilia Michael Olise wa Bayern Munich, Arsenal watampa Bukayo Saka zaidi ya pauni 250,000 kwa wiki ili…
Hali ya mambo katika maeneo ya Gaza City imechukuwa mwelekeo wa kuzusha wasiwasi mkubwa+++Hadi sasa mamlaka za Uganda zimesita kutoa taarifa kuhusu kukamatwa kwa wanaharakati wawili wa kisiasa raia wa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Kulingana na Samia, wale wanaoshawishi kuvunja amani wana mahali pa kukimbilia wao na familia zao.
MABAHARIA wa KMKM, wamefanikiwa kuvuna Sh10.5 millioni kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), Azana Hassan Msingiri ikiwa sehemu ya kuipongeza timu hiyo kwa kuingia hatua ya…
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
MECHI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa leo Oktoba 1, 2025 kati ya JKU na KVZ kwenye Uwanja wa Mao A mjini Unguja, imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Kwa mara nyingine Iran inajikuta chini ya vikwazo vikali vya kimataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia na wa makombora ya masafa marefu. Haya yanajiri baada ya mkwamo wa mazungumzo…
Wagombea Tanzania wameendelea kurusha kete zao za kisiasa vilivyo na wakiwekeza katika mbinu mbadala za ushindi huku wananchi nao wakitoa maoni yao wakati wakisubiri siku ya kupiga kura.