Maandamano duniani kulaani kuzuiwa misaada kupelekwa Gaza
Waandamanaji katika maeneo mbalimbali duniani wamelaani hatua ya Israel kuzuia msafara wa meli uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuipeleka Gaza, wakitoa wito kwa serikali ya Tel Aviv kuwekewa vikwazo.