Watu wawili wauawa katika shambulio la kigaidi Manchester
Wanaume wawili wa jamii ya Kiyahudi wamefariki dunia huku wengine watatu wakilazwa hospitalini wakiwa na majeraha mabaya kufuatia shambulio la gari na kisu lililotokea mjini Manchester, Uingereza.