Serikali ya Marekani kufunga biashara zake ndani ya saa moja
Maseneta wa Marekani wameshindwa kupitisha mswada wa dakika za mwisho wa kuzuia kufungwa kwa serikali, ambao unahakikishe kuwa ufadhili utakatwa usiku wa manane.
Maseneta wa Marekani wameshindwa kupitisha mswada wa dakika za mwisho wa kuzuia kufungwa kwa serikali, ambao unahakikishe kuwa ufadhili utakatwa usiku wa manane.
Tottenham inamwania Marc Guehi na Nathan Collins huku Manchester United ikimtaka Federico Valverde wa Real Madrid.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri yya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amepongeza pendekezo la hivi karibuni la Rais wa Colombia wakati wa hotuba yake mbele ya Umoja wa Mataifa la kuundwa 'jeshi la…
Maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen-Z ya kushinikiza kuboreshwa huduma hospitalini na shuleni yameenea katika miji mbali mbali ya Morocco.
Sambamba na kusisitizia utayarifu wa Russia wa kutatua mgogoro wa Asia Magharibi, Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesisitiza kuwa Moscow haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani juu ya…
Serikali ya Venezuela imetangaza kuwa itaamilisha "Dikrii ya Dharura ya Kigeni" ikiwa Marekani itaanzisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Leo ni Jumatano tarehe 8 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 9 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Mosi Oktoba 2025 Miladia.