Marekani kuipa Ukraine taarifa za kijasusi kutumika kwa mashambulizi dhidi ya Urusi
Marekani itapanga kuipatia Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, maafisa wawili wamesema siku ya Jumatano, wakati nchi…