Mbinu mpya inayowezesha utengenezaji wa viinitete kutokana na ngozi ya binadamu
Wanasayansi wa Marekani wanaojaribu mbinu ambayo inaweza kuwasaidia kukabiliana na utasa na uwezekano wa kuruhusu wanandoa wa jinsia moja kuwa na mtoto mwenye uhusiano nao wa kijenetiki.