Namna UNCDF ilivyosaidia jamii kupata mtaji na huduma muhimu Rwanda, Burundi, Malawi na Zimbabwe
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Mitaji, UNCDF, limeendelea kuwekeza katika kupunguza hatari za hasara za kifedha na kufungua fursa za mitaji nafuu kwa vijana, wanawake na sekta muhimu…