WHO: Mlipuko wa Ebola Kongo waonyesha dalili za kupungua maambukizi
Shirika la Afya Duniani( WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonyesha "dalili za kupungua kwa maambukizi".
Shirika la Afya Duniani( WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonyesha "dalili za kupungua kwa maambukizi".
Wananchi wameeleza maoni yao baada ya mabasi mapya ya mwendokasi ya kampuni ya MOFAT kuanza kutoa huduma kwa abiria wanaosafiri kati ya Mbezi na Kimara, hatua iliyolenga kupunguza kero ya…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa rai kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya uharibifu wa miundombinu ya umma licha ya changamoto za usafiri zinazojitokeza,…
Goodall alianza taaluma yake nchini Tanzania, huko Gombe Mkoani Kigoma mnamo mwaka 1960 akiwa na umri wa miaka 26 tu.
Mwanaharakati wa mazingira raia wa Uingereza Jane Goodall, ambaye alikuwa mbobezi katika sayansi ya wanyamapori na hasa uhusiano kati ya sokwemtu na binadamu na kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na…
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, katika ripoti yake inaishtumu serikali ya Tanzania kwa kuminya uhuru wa kisiasa, hatua ambayo inatilia shaka iwapo uchaguzi…
Watu karibu 40 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa, baada ya kuangukiwa na fito na mbao za kushikilia jengo la Kanisa nchini Ethiopia. Imechapishwa: 02/10/2025 – 08:09 Dakika…
Wanaharakati wawili wa nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, wameripotiwa kutekwa nyara nchini Uganda katika mazingira ya kutatanisha. Imechapishwa: 02/10/2025 – 07:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Korea Kusini imekubali kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Oktoba 2, wajibu wake wa kuasili makumi ya maelfu ya watoto waliotumwa nje ya nchi kwa njia mbaya “kupitia” wakati mwingine…
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 kipimo cha Richter lililopiga katikati mwa Ufilipino siku ya Jumanne jioni imeongezeka hadi 72, kulingana na shirka…