Makombora ya Yemen yafunga uwanja wa ndege wa pili wa Israel
Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni,…
Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni,…
Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki…
Kadiri jinai na mauaji ya kimbari ya Israel yanavyozidi kuongezeka huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Lebanon ndivyo ususiaji wa kimataifa unavyozidi kushika kasi na sasa hivi…
Taarifa kutoka nchini Uingereza zimefichua kuwa, nchi hiyo ya kifalme ya Ulaya iliupa utawala wa Kizayuni risasi 110,000 ndani ya mwezi mmoja tu ili Israel iendelee kufanya mauaji ya kimbari…
Trump na Netanyahu washirika wa karibu kwa miaka mingi, lakini sio kutokubaliana. Hapa kuna wakati muhimu katika uhusiano wao.
Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal. Baada ya kuondoka kwa rais huyo wa zamani,…
Kwa wiki kadhaa, hali ya sintofahamu imetawala juu ya mustakabali wa mkataba huu wa kibiashara ulioanzishwa chini ya utawala wa Bill Clinton kati ya nchi 32 za Afrika na Marekani.…
Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoelina siku ya Jumatatu, Septemba 29, la kufutwa kwa serikali…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumanne, Septemba 30, limeidhinisha azimio lenye lengo la kubadilisha Misheni ya Usaidizi wa Polisi ya Haiti inayoongozwa na Kenya kuwa kikosi imara zaidi,…
Wanasayansi wa Marekani wanaojaribu mbinu ambayo inaweza kuwasaidia kukabiliana na utasa na uwezekano wa kuruhusu wanandoa wa jinsia moja kuwa na mtoto mwenye uhusiano nao wa kijenetiki.