Mwanamuziki Angelique Kidjo asimulia safari yake ya elimu akiunga mkono wito wa UNICEF kwa viongozi wa Afrika
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linatoa wito kwa viongozi wa Afrika kufanya uwekezaji wa kifedha wa busara utakaowezesha watoto kupata ujuzi wa msingi wa kujifunza na…