Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.