Ulaya yajipanga upya kuhusu vita na usalama wa Ukraine
Karibu viongozi 50 wa Ulaya wamekutana Copenhagen kujadili vita vya Ukraine, usalama wa bara na changamoto za kiuchumi huku Rais Volodymyr Zelensky akitafuta msaada zaidi kufuatia kupungua kwa uungwaji mkono…