Fahamu mpango wa amani wa Trump Gaza wenye vipengele 20 kwa kina
Viongozi wa Ulaya na Mashariki ya Kati wamekaribisha mpango mpya wa amani wa Marekani kwa Gaza huku Rais Donald Trump akionya Hamas kuwa haina budi zaidi ya kuukubali.
Viongozi wa Ulaya na Mashariki ya Kati wamekaribisha mpango mpya wa amani wa Marekani kwa Gaza huku Rais Donald Trump akionya Hamas kuwa haina budi zaidi ya kuukubali.
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Nilipobisha mlango wa nyumba yake, Hamisa alikuja kunifungulia. Akanikaribisha ndani. “Karibu.” Sauti yake ilikuwa ya adabu na nidhamu. Niliomba Mungu asibadilike tena na kuwa chui.
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amezungumzia njama za maadui dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza kwa kusema: "Ni jambo lisilo na chembe ya shaka…
Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni,…
Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki…
Kadiri jinai na mauaji ya kimbari ya Israel yanavyozidi kuongezeka huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Lebanon ndivyo ususiaji wa kimataifa unavyozidi kushika kasi na sasa hivi…