Mtaalamu maarufu wa sayansi ya wanyama pori Jane Goodall afariki akiwa na umri wa miaka 91
Mwanaharakati wa mazingira raia wa Uingereza Jane Goodall, ambaye alikuwa mbobezi katika sayansi ya wanyamapori na hasa uhusiano kati ya sokwemtu na binadamu na kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na…