Madagascar: Vyama vya wafanyakazi vyaungana na vuguvugu la maandamano na Rajoelina ajiuzulu
Vyama vya wafanyakazi nchini Madagascar vinaongeza shinikizo kwa Rais Andry Rajoelina, wiki moja baada ya kuanza kwa vuguvugu la maandamano ambalo halijawahi kushuhudiwa linaloitikisa taifa hivi sasa. Mshikamano wa Vyama…