Kutana na Meshaki Mathias mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa kijiji cha Ntoija wilayani Bukoba aliyeamua kugeukia kilimo na kuanzisha shamba la migomba. Kwa sasa ana uwezo wa kuvuna zaidi ya mikungu 150 ya ndizi, kila mmoja ukiuzwa si chini ya shilingi elfu 10.
Meshaki aliishia kidato cha sita na kushindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto za kifamilia.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi