
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14 amefungua rasmi Bunge la Kumi na Tatu la Jamhuri ya Muungano la Tanzania .
Hafla ya ufunguzi huo imefanyika mjini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wabunge, viongozi wa dini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na wageni waalikwa kutoka ndani na nje ya nchi. SOMA: Serikali kuongeza bajeti ya TARURA









