RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaongeza bajeti na uwezo wa Wakala ya Barabara za Mijini (TARURA) kuboresha Barabara za ndani na vijijini ili kuhakikisha barabara za vijijini zinapitika mwaka mzima.

Amesema hayo wakati akifungua na kuhutubia Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Novemba 14, 2025, bungeni mkoani Dodoma.

Rais Samia amesema lengo ni wakulima kuyafikia masoko kwa urahisi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *