Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 25 katika Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuongeza kasi ya kuwajengea uwezo wa kuongeza ujuzi na kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali kupitia sekta ya kilimo na biashara, hasa usindikaji wa mazao, ili kukabiliana na tatizo la ajira.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *