Shirika la Afya Duniani (WHO) litapunguza wafanyakazi wake zaidi ya elfu mbili kufikia katikati ya mwaka 2026 kufuatia uamuzi wa Marekani kuanza mchakato wa kujiondoa kwenye shirika hilo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi