ALGERIA; MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A kati ya JS Kabyllie ya Algeria na Yanga ya Dar es Salaam umemalizika muda mfupi uliopita nchini Algeria kwa matokeo ya 0-0.

Matokeo hayo yameiweka pazuri zaidi Yanga kwa kufikisha pointi 4, baada ya wiki iliyopita kuifunag FAR Rabat bao 1-0 Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *