15 Septemba 2025

Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikitazama kwa mbali mafanikio ya majirani zake Kenya na Ethiopia ambao wamekuwa wakitawala mbio za masafa marefu duniani, hata hivyo mwanariadha Alphonce Felix Simbu, kwa ushindi wake wa dhahabu katika mbio za Marathon mjini Tokyo Japan, ameibadilisha kabisa taswira hiyo. Ushindi wake ni alama ya matumaini na mwelekeo mpya kwa riadha nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/50Uk3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *