Marekani, mshirika wa karibu wa Israel, imekosoa siku ya Jumapili, Septemba 21, kutambuliwa kwa taifa la Palestina na msururu wa nchi kama “kujionyesha,” ikisema “inaweka kipaumbele kwa diplomasia ya kweli” katika Mashariki ya Kati.
Washington yashutumu utambuzi wa taifa la Palestina kwa baadhi ya nchi