Mwenyekiti wa PLO Yasser Arafat akimkumbatia Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, tarehe 1 Januari 1990, huku wangine wakitabasamu.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mwenyekiti wa PLO Yasser Arafat akimkumbatia Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, tarehe 1 Januari 1990

    • Author, Marina Daras
    • Nafasi,

Baada ya hatua ya hivi punde ya Ufaransa, Uingereza, Canada na Australia kulitambua taifa la Palestini mengine zaidi yanatarajiwa kufuata mkondo huo.

Lakini mataifa ya Afrika yanaichukuliaje Palestina?

Nchi nyingi za bara hilo ziliitambua Palestina katika miaka ya 1980 baada ya kiongozi wa Palestina, Yasser Arafat kutangaza uhuru wake mjini Algiers.

Viongozi kama Thomas Sankara na Nelson Mandela hata walihusisha mapambano ya Wapalestina na mapambano ya ukombozi wa Afrika yenyewe.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *