Iran na nchi tatu zenye nguvu za Ulaya – Ujerumani, Ufaransa na Uingereza – zinatazamiwa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia huko Geneva, Uswisi siku ya Jumanne, yakiangazia maswala ya nyuklia na uondoaji wa vikwazo.
Source link
Iran na Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia mjini Geneva