Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuondosha changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika maeneo ambayo bado kuna changamoto hiyo iwapo atafanikiwa kutetea kiti cha Urais wa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ni mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mtumwa Said anaeleza.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi