Waziri Mkuu wa India 'apuuza' simu 4 za Trump huku vita vya kibiashara vya Marekani vikiendeleaWaziri Mkuu wa India 'apuuza' simu 4 za Trump huku vita vya kibiashara vya Marekani vikiendelea



Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, ameripotiwa kupuuza majaribio kadhaa ya Donald Trump ya kumtafuta kwa simu huku vita vya kibiashara kati ya nchi hizo vikipamba moto, ambavyo vimechochewa na ushuru mzito wa forodha wa rais wa Marekani dhidi ya bidhaa kutoka India.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *