Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza kutoka Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibongoto, wakiongozwa na Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dkt. Subi, wamewasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vimelea vya kifua kikuu vinavyohusishwa na uwepo wa vumbi kwenye migodi.
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates