Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya uongozi na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kampeni, kuchambua sera za wagombea, na kufanya maamuzi sahihi bila ushawishi wa rushwa.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *