Ukuaji wa sekta ya kilimo nchini umechangia asilimia 29 ya pato la taifa na kutoa ajira kwa takribani asilimia 60 ya Watanzania…hali inayotajwa kuwa fursa muhimu kwa taasisi za kifedha kuongeza uwekezaji katika sekta hiyo.
#AzamTVupdates
Mhariri | John Mbalamwezi