Inaelezwa kuwa uhusiano wa mbali (Long distance relationship) ndani ya familia unakumbwa na changamoto nyingi ikiwemo kusalitiana na mengineyo.

Je, uhusiano wa mbali unaweza kudhoofisha upendo katika familia Na unadhani ni vitu gani vinaweza kusaidia kulinda na kudumisha upendo licha ya wanafamilia kuishi mbalimbali?

Tupe maoni yako tutayasoma katika #Kilingechafamilia Jumapili saa 1.00 kamili usiku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *