Meneja Msimamizi wa Mita – TANESCO, ENG. Nyanda Mlagwa amesema asilimia 14.8 ya umeme inapotea kwenye shirika kuanzia kwenye kusafirisha na kusambaza, ambapo asilimia sita ipo kwenye usafirishaji na asilimia nane ipo kwenye usambazaji wa umeme.
Katika hatua nyingine, ENG. Nyanda ameeleza kwamba, bado wanaendelea na upembuzi yakinifu kuangalia kiwango cha umeme kinachopotea kwa sababu za kuhujumu miundombinu.
✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates #UTV108 #MorningTrumpet