Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, Nairobi.
Agizo hilo la muda linazuia pia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini humo.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
